JUMUIYA
YA WATANZANIA- DMV IKISHIRIKIANA NA NDUGU, JAMAA, WAFANYAKAZI WA UBALOZI,
WAUMINI WA THE WAY OF THE CROSS GOSPEL MINISTRIES, PAMOJA NA MARAFIKI WA
MAREHEMU CAROLINE DAVID
MWAISELAGE
WANAOMBA
TUJUMUIKE PAMOJA KWENYE MISA NA KUTOA
MKONO WA POLE NA RAMBIRAMBI KWA FAMILIA YA MAREHEMU SIKU YA
JUMAMOSI TAREHE 22 MARCH 2013 KUANZIA SAA 3:00PM
VENUE
The Way of the Cross Gospel Ministries
(at University United Methodist Church)
3621 Campus Drive
College Park, MD 20740
(at University United Methodist Church)
3621 Campus Drive
College Park, MD 20740
NDUGU CAROLINE MWAISELAGE ALIYEKUWA
MKE, MAMA WA WATOTO WATANO, DADA, SHANGAZI, MFANYAKAZI WA UBALOZI NA MPAMBAJI
MAARUFU HAPA DMV, ALIFARIKI TAREHE 7 MARCH 2014 HUKO TANZANIA NA KUZIKWA HAPO
TAREHE 9 MARCH 2014 HUKO KINONDONI –DAR ES SALAAM.
KAMA ILIVYO MILA NA DESTURI ZA
WATANZANIA, KWA MASIKITIKO MAKUBWA TUNAOMBWA TUUNGANE PAMOJA KATIKA KUTOA MKONO WA POLE, RAMBIRAMBI NA KUFARIJIANA
KUTOKANA NA MSIBA HUU.
KWA
WATAKAOSHINDWA KUFIKA TAFADHALI TOA RAMBIRAMBI YAKO KUPITIA CITIBANK, ACCOUNT # 6785876575, ROUTING # 254070116, JINA: CHRISTOPHER
MUHOKA AMBAYE NI MUME WA MAREHEMU.
KWA
MAELEZO ZAIDI WASILIANA NA:
Iddi
Sandaly 301-613-5165
Amos
Cherehani 240-645-2131
Florah Mnkande
240-217-6335
Christine
Mbeye 206-631-1507
Tumaini
Kaisi-Katule 301-433-3411

9 comments:
Kichwa cha habari kingesema...misa ya kumshukuru Mungu ingeleta maana zaidi, Baada ya mtu kufa hakuna nafasi nyengine ya mtu kurekebisha , ukitaka kumuombea mtu omba akiwa hai...biblia inasema tumshukuru Mungu kwa Kila jambo!!
nafikiri kuna typing error.umesema misa ya kumshukhuru mungu march 2013.na amezikwa 2014.so rekebisha mwaka.
nafikiri kuna typing error.umesema misa ya kumshukhuru mungu march 2013.na amezikwa 2014.so rekebisha mwaka.
Wow! Weye nawe!! Ndo mara ya kwanza unaona lugha hii au wee ndo professor wa Kiswahili na biblia?? Ebu acha wazimu!
Tatizo kubwa la sisi wabongo na waTZ tunapenda kuendkeza ujinga badala ya kusaidiana. Hapa sioni tatizo la malumbano kwa maksa ambayo ni ya kawaida na hata wewe mwenyewe mtoa kosa unalifanya anzia nyumbani kwako! Pia hapa hakuna anayajua zaidi Mungu pekee ajua. Tuungane pamoja kuifanya siku njema ya bwana. Hakuna aliye sawa zaidi!! Asanteni
Mtoa maoni # 1 napenda tu kukuelimisha kuwa si kila msomaji wa Biblia lazima aendane na tafsiri yako. Kama ingekuwa hivyo, wakristu wasingekuwa na madhehebu utitiri. Wakatoliki ambao idadi yao ni karibu bilioni 2 duniani, wanaitafsiri Biblia kuwa wafu wanaombewa ili wale walioko toharani waweze kufika mbinguni. Na Wametenga tarehe 1 Novemba kila mwaka kuwa ni siku ya kuwaombea MAREHEMU WOTE. Biblia ni moja lakini tafsiri ni tofauti. Si kila mkristu anaamini kama unavyoamini wewe. Inawezekana familia ya marehemu wanaamini kuwa mpendwa wao anahitaji maombi ndiyo maana wakaomba kichwa cha habari kiandikwe hivyo. Kama unatofautiana na mtu ki-imanai, basi heshimu imani yake kama jinsi wewe unavyotaka imani yako iheshimiwe.
R.I.P Tutakukumbuka daima Caroline!
Poleni wafiwa,RIP Sis`Carol. Pumzika kwa amani,pendo la bwana likupumzishe. Nitawakumbuka familia katika sala zangu.Amen!! Wote mlioandika maoni upuuzi hapo juu,mamburulaaazzzzz! Hebu rudini utamaduni wa kuwapa pole wafiwa na si kuandika blaah blaah zenu. Start your own blog. Dj Luka usibanie hii,tumechoshwa na hawa vilaza.
Yohana 6:39-40,waebrania 9:27
Post a Comment