ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, March 22, 2014

MISA YA KUMUOMBEA MAREHEMU CAROLINE DAVID MWAISELAGE LEO JUMAMOSI VIJIMAMBO KUIRUSHA LIVE

JUMUIYA YA WATANZANIA- DMV IKISHIRIKIANA NA NDUGU, JAMAA, WAFANYAKAZI WA UBALOZI, WAUMINI WA THE WAY OF THE CROSS GOSPEL MINISTRIES, PAMOJA NA MARAFIKI WA
MAREHEMU  CAROLINE DAVID MWAISELAGE
WANAOMBA TUJUMUIKE PAMOJA KWENYE MISA NA  KUTOA MKONO WA POLE NA RAMBIRAMBI KWA FAMILIA YA MAREHEMU SIKU YA
 JUMAMOSI TAREHE 22 MARCH 2013 KUANZIA SAA 3:00PM
VENUE
The Way of the Cross Gospel Ministries
(at University United Methodist Church)
3621 Campus Drive
College Park, MD 20740
NDUGU CAROLINE MWAISELAGE ALIYEKUWA MKE, MAMA WA WATOTO WATANO, DADA, SHANGAZI, MFANYAKAZI WA UBALOZI NA MPAMBAJI MAARUFU HAPA DMV, ALIFARIKI TAREHE 7 MARCH 2014 HUKO TANZANIA NA KUZIKWA HAPO TAREHE 9 MARCH 2014 HUKO KINONDONI –DAR ES SALAAM.


KAMA ILIVYO MILA NA DESTURI ZA WATANZANIA, KWA MASIKITIKO MAKUBWA TUNAOMBWA TUUNGANE PAMOJA KATIKA  KUTOA MKONO WA POLE, RAMBIRAMBI NA KUFARIJIANA KUTOKANA NA MSIBA HUU.
KWA WATAKAOSHINDWA KUFIKA TAFADHALI TOA RAMBIRAMBI YAKO KUPITIA CITIBANK, ACCOUNT # 6785876575, ROUTING # 254070116, JINA: CHRISTOPHER MUHOKA AMBAYE NI MUME WA MAREHEMU.

KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NA:

Iddi Sandaly 301-613-5165
Amos Cherehani 240-645-2131
                                    Florah Mnkande 240-217-6335
                                   Christine Mbeye  206-631-1507
                                   Tumaini Kaisi-Katule 301-433-3411

9 comments:

Anonymous said...

Kichwa cha habari kingesema...misa ya kumshukuru Mungu ingeleta maana zaidi, Baada ya mtu kufa hakuna nafasi nyengine ya mtu kurekebisha , ukitaka kumuombea mtu omba akiwa hai...biblia inasema tumshukuru Mungu kwa Kila jambo!!

Anonymous said...

nafikiri kuna typing error.umesema misa ya kumshukhuru mungu march 2013.na amezikwa 2014.so rekebisha mwaka.

Anonymous said...

nafikiri kuna typing error.umesema misa ya kumshukhuru mungu march 2013.na amezikwa 2014.so rekebisha mwaka.

Anonymous said...

Wow! Weye nawe!! Ndo mara ya kwanza unaona lugha hii au wee ndo professor wa Kiswahili na biblia?? Ebu acha wazimu!

Anonymous said...

Tatizo kubwa la sisi wabongo na waTZ tunapenda kuendkeza ujinga badala ya kusaidiana. Hapa sioni tatizo la malumbano kwa maksa ambayo ni ya kawaida na hata wewe mwenyewe mtoa kosa unalifanya anzia nyumbani kwako! Pia hapa hakuna anayajua zaidi Mungu pekee ajua. Tuungane pamoja kuifanya siku njema ya bwana. Hakuna aliye sawa zaidi!! Asanteni

Anonymous said...

Mtoa maoni # 1 napenda tu kukuelimisha kuwa si kila msomaji wa Biblia lazima aendane na tafsiri yako. Kama ingekuwa hivyo, wakristu wasingekuwa na madhehebu utitiri. Wakatoliki ambao idadi yao ni karibu bilioni 2 duniani, wanaitafsiri Biblia kuwa wafu wanaombewa ili wale walioko toharani waweze kufika mbinguni. Na Wametenga tarehe 1 Novemba kila mwaka kuwa ni siku ya kuwaombea MAREHEMU WOTE. Biblia ni moja lakini tafsiri ni tofauti. Si kila mkristu anaamini kama unavyoamini wewe. Inawezekana familia ya marehemu wanaamini kuwa mpendwa wao anahitaji maombi ndiyo maana wakaomba kichwa cha habari kiandikwe hivyo. Kama unatofautiana na mtu ki-imanai, basi heshimu imani yake kama jinsi wewe unavyotaka imani yako iheshimiwe.

Anonymous said...

R.I.P Tutakukumbuka daima Caroline!

Anonymous said...

Poleni wafiwa,RIP Sis`Carol. Pumzika kwa amani,pendo la bwana likupumzishe. Nitawakumbuka familia katika sala zangu.Amen!! Wote mlioandika maoni upuuzi hapo juu,mamburulaaazzzzz! Hebu rudini utamaduni wa kuwapa pole wafiwa na si kuandika blaah blaah zenu. Start your own blog. Dj Luka usibanie hii,tumechoshwa na hawa vilaza.

Anonymous said...

Yohana 6:39-40,waebrania 9:27