Nafikiri hii ni nafasi nzuri ya kushauri juu ya uendeshaji wa chombo hiki. Kwa hakika kazi inayofanywa na vijimambo kwa ujumla ni nzuri na ya pekee, na ndio maana kuna umuhimu wa kutoa ushauri au muongozo wakati mwingine kwa manufaa ya kukiboresha au kukilinda.
Wengi wamekuwa wakitembelea chombo hiki, hususan wanafamilia wenye mila na desturi za kiswahili au zenye mipaka makinifu. Ningeshauri tuepuke na kuruhusu matumizi ya lugha chafu kurushwa hewani na picha zisizotazamika, kama zile za watu waliopata ajali mbaya au madhara ya mwili kwa kiwango cha kutisha.
2 comments:
Nafikiri hii ni nafasi nzuri ya kushauri juu ya uendeshaji wa chombo hiki. Kwa hakika kazi inayofanywa na vijimambo kwa ujumla ni nzuri na ya pekee, na ndio maana kuna umuhimu wa kutoa ushauri au muongozo wakati mwingine kwa manufaa ya kukiboresha au kukilinda.
Wengi wamekuwa wakitembelea chombo hiki, hususan wanafamilia wenye mila na desturi za kiswahili au zenye mipaka makinifu.
Ningeshauri tuepuke na kuruhusu matumizi ya lugha chafu kurushwa hewani na picha zisizotazamika, kama zile za watu waliopata ajali mbaya au madhara ya mwili kwa kiwango cha kutisha.
Constructive criticism
Shukrani
umesema nini mdau? I mean, WHAT'S YOUR POINT?
Post a Comment