Advertisements

Sunday, March 2, 2014

RAIS KIKWETE ASHIRIKI MAZISHI YA BALOZI KAZAURA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo katika kaburi la aliyekuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Balozi Fulgence Kazaura wakati wa mazishi yake yaliyofanyika katika kijiji cha Bugandika,Wilaya ya Misenyi Mkoani Kagera leo(picha na Freddy Maro)

3 comments:

Anonymous said...

Hivi Inakuaje mtu aliyestaafu serikalini na alikuwa mkuu wa chuo anamwangalia na serikalini unakaa kimya Kwenye uuguzi na akifariki viongozi mnajazanaa.Mzee kazaura aliuguzwa na wanae tulimchangia kumuuuza baba yetu hakukuwa na Simu ya hao viongozi wala nini .I'm deeply sad

Anonymous said...

Ndugu unasahau walimwengu, yakisha kukuta ndiyo utawaona kwenye picha.Kwa maana wanayafanya kwa ajili ya macho ya walimwengu na si kwa moyo. Ukinipenda nambie wakati ninaishi na si kupiga risara nikisha kufa. Hayata nisaidia!! Tafuta tu ufalme wa mbingu mengine yote na yawe ya ziada!!!
Poleni sana na msiba. Alikuwa mfano mzuri wa maendeleo, kielimu na uchapaji kazi! Na apumzike kwa amani!

Anonymous said...

poleni sana wafiwa wote poleni sana najua ndo serikali yetu ilivyo hii mungu akupeni moyo wa subira poleni sana i know its so sad mungu akupeni tu moyo wa kusubiri na akurahisishiyeni machungu mlio nayo amen poleni sana jamani poleni

ny,MT.VERNON