ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, March 30, 2014

TASWIRA YA AROBAINI YA ASHA MKAMBAVANGE KIBODYA HUKO SPRINGFIELD

Mashekhe wakisoma kwenye Arobaini ya dada Asha Mkambavange Kibodya iliyofanyika Al Baqi Islamc Center 148, Springfield.MA  na kuhudhuriwa na wa Tanzania wapande za New York, DC na Massachusetts.
Ustadh Muha akisoma Qur'an kwenye Arobaini hiyo
Bwana Isaack Kibodya akiongua kwa kutanguliza shukran kwa ndugu na marafiki waliojitokeza kwenye Arobaini hiyo.
Shekhe Maftah kutoka New York akisoma dua.
Akina mama wakifuatilia kisomo cha Arobaini hiyo kutoka kwa mashekhe. 

4 comments:

Anonymous said...

Allah akubarikini sana tena sana watu wa maryland na d.c na virginia wote na pia wa New york, inapendeza sana kuona picha hizi watu wanaijua na kuisoma na kuiheshimu dini yao siku hizi ni jambo la kheir sana na dj luke tunakupa shukran sana kwa kupiga picha hizi na kuweka mtandaoni.
ndo inavyotakiwa waislamu mkiwa popote pale msisahau dini yenu na mlipotoka.

na marehamu Allah amlaze pema peponi pamoja na sisi tuliopo njiani Allah atukubaliye dua zetu na atuongoe katika siratal mustakeem AMIN AMIN AMIN

Anonymous said...

spelling ya dina la maftah siyo mafutah msiharibu jina la mtu waugwana

Anonymous said...

Na jina sio dina.

Anonymous said...

Muungwana hata wewe umekosea kuandika sio dina bali jina mi napita