ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, April 1, 2014

ANKAL AINGIA WASHINGTON, DC KWA ZIARA BINAFSI AKITOKEA UINGEREZA


Juu na chini ni Ankal akiwa na wanaDMV Jana wakati alipokuja ghafla Washington, DC kwa shughuli zake binafsi 

kwa picha zaidi bofya soma zaidi


wajinga ndio waliwao ha hah ha siku ya wajinga

5 comments:

Anonymous said...

Jamani Michuzi analipenda hilo shati au aliambiwa na Mganga wake akija uku avae hilo shati .apate wateja .Akuna mtu wa kumshauri.najua huyu sio muhuni kama wenye blog zingine.

Anonymous said...

Acha ujinga wewe..mtu mzima ovyoo

Anonymous said...

yaani mngeweka picha watu wamevaa masweta na makoti inge-make more sense

Anonymous said...

ahahah ,u got me on this one!!!!!




Anonymous said...

April fools? Why would he dress like that in winter? na hayo majani ya kijani hivyo yametoka wapi msimu huu?