ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, April 29, 2014

BASI LA HOOD LATEKETEA KWA MOTO PWANI

Basi la Kampuni ya Hood, lililokuwa likitokea Mbeya kwenda Arusha limeteketea kwa moto jana jioni eneo la Wami, Pwani. Hakuna majeruhi wala aliyepoteza maisha katika ajali hiyo. GPL

No comments: