
Na Sadick Kassim
Haijalishi wangapi wanakodoa, jiamini!!. Kilicho hifadhiwa kwenye nafsi kamwe hakipotei na wala hakiwezi linganishwa na kilicho hifadhiwa moyoni. Moyo waweza ondolewa na bado ukaishi kwa msaada wa mashine ila nafsi ikitoka inabaki historia duniani.Baby ushauvamia moyo wangu sawa na ukame ulivyo yavamia majangwa. Moyo wangu unapiga maratatu ya mapigo ya kawaida pindi nifikiriapo kuwa kuna siku watasimulia kuwa ulikuwa ubavu wangu.
Mmmmhh nguno wa furaha unatafsiriwa na macho yake ambayo kimtazamo ni kama yamepigwa shoti ya umeme.Usinishike hapa mama hataki bali gusa hapa ndiyo maadili ya kiafrika na uunyoshe mkono wako usababishe yamwagike katika mfumo wa kububujika na yasisababishe hofu bali kisima cha upendo ulobarikiwa. ""Nakupenda Dori Dori nimezimika hoi!! ho!!, upendo wa shori shori............... nifanyeje?. Baby mlio wa simu yako mzuri: simu yako inaita. Aliambiwa Lady . Nani anapiga? """ my love no.30""""". Am sory nakuja. Alizipiga hatua chache na kuanza kuongea na simu huka meno 32 yakiwa yanaonesha furaha alokuwa nayo. Mungu wangu My love no.3o??????. aliwaza kijana huku akiyatafakari maneno matamu aliyo kuwa akipewa na Lady....................., inaweza endelea mpaka kurasa 120.
No comments:
Post a Comment