BREAKING NEWS: MELI YAZAMA ZIWA VICTORIA HIVI PUNDE
picha haihusiani na tukio
Meli
ya mizigo ya Kampuni ya FB Matara iliyokuwa inatoka Bukoba kwenda Mwanza
ikiwa na wafanyakazi kumi na shehena ya sukari imezama ziwa victoria
katikati ya visiwa vya Kerebe na Bumbile.
1 comment:
Ondoa hiyo picha ya Korea, tafadhali sana!
Post a Comment