Mdau wa pili hapo juu ni picha gani ulitaka iwekwe hapo juu? ..unajua maana ya mtu kuwa balozi? ..unajua maana ya harambee?..hata Pres.Obama hufanya harambee na huonyeshwa kwenye picha au Tv sasa kipi kigeni au tatizo?..huna ishu kaa kimya..usiongee kama umekatwa kichwa.
Duu huyo jamaa nae kweli katolea madongo kuinama Akita mambo gani balozi awekwe? Na jambo la mbolea hilo linafanyika..kweli kaa chini comments zako zinaoneka hujui chochote unaropoka tuu..huyo ni balozi maana yake ni raisi wa watanzania hapa..picha.kuwekwa hapo ni heshima
mdau wa pili hajakosea mnamnadi balozi kwa kila kitu hamumpi heshma anayostahili sijui mafasion show siju mara harambee na muunga mkona na kichwa na miguu mdau wa pili hapo juu kaama mna njaa zenu za kuchangishana basi changishaneni na si kumuweka balozi kwa kila kitu mpeni heshima yake hivi mmewaona mabalozi wenginewe wa nchi za kiafrica wanafanya hivi kama nyinyi acheni jifunzenzi kwa wenginewe
5 comments:
Haya ndo maneno!!! Ni mfano wa kuigwa.
I don't think it's a good idea kuweka picha ya balozi Kwenye mambo Kama haya.

Post a Comment