ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, April 30, 2014

HATA MAREKANI BARABARA ZINAKATIKA PIA KAMA UNAVYOONA

Hii ni huko Alabama baada ya Tornado kuleta maafa katika miji mbalimbali ya Marekani.
Miundo mbinu ikizidiwa na mother Nature habari ndiyo hii.
Siyo Tanzania pekee ndiyo kunaweza kutokea miundo mbinu kuzidiwa na Mother nature hata nchi zilizoendeleea pia inatokea kama hivi.

No comments: