Advertisements

Friday, April 25, 2014

HATIMAYE MAPATO NA UTAJIRI WA MWANADADA IRENE UWOYA WAZUA KIZAAZAA

.
Inadaiwa kuwa hali ya hewa imechafuka kwa msanii nyota wa filamu za Bongo Irene Uwoya ambapo ameshindwa kutaja vyanzo vya utajiri wake wa Ghafla.
Hivi karibuni Uwoya alikaririwa akisema kuwa hawezi kutaja kazi nyingine anayofanya na utajiri aliokuwa nao kwani wapo baadhi ya watu hawapendi kuona mmoja wao akiendelea ...Alisema kuwa pamoja na magari anayomiliki ya kifahari hawezi sema ni njia gani amepata utajiri huo..Nimefanya Filamu kadhaa ambazo zimenipa hela na cha zaidi ni Jina ambalo limenifanya kupata Deals zingine zinazonipa Pesa..Jina langu ni Kubwa so lazima liendane na Mali ninazopata...
Credit:Emmanuel Shilatu.

1 comment:

Anonymous said...

Mbona hawashangai utajiri wa Ridhiwani Kikwete? Hata kama Ridhiwani ni mfanyabiashara je analipa kodi???JE TRA WANAZO RECORD zake?..
Hebu muacheni huyo dada na hela zake bwana!!