Advertisements

Saturday, April 19, 2014

JUMAPILI MECHI INAANZA SAA SABA MCHANA WACHEZAJI KUFIKA MAPEMA TAFADHALI ZINGATIA MUDA SAA SITA KAMILI KUKUTANA.

Wachezaji mnatakiwa kuwa na viatu special vinavyoruhusiwa kuchezea kwenye Artificial turf shoes(cleats) Socks ndefu nyeupe. Wachezaji  kufika mapema kwani timu inatakiwa kushinda michezo iliyobaki baada ya mchezo wa ufunguzi kuangukia pua na wamexico.
 Mambo yalikuwa kama hivi vijana wakifanya vitu vyao uwanjani
Vijana wenye vipaji wako tayari baada ya mchezo uliopita kushindwa kucheza kwa kukosa vifaa maalumu.

No comments: