Advertisements

Saturday, April 19, 2014

MWENYEKITI WA TAWI LA CCM NEW YORK ATEMBELEA MACHIMBO YA MADINI YA CHROME MUSCAT OMAN

Ustadhi Maftah akiwa juu ya mlima Sharki huko Muscat Oman, mlima huu ni maarufu sana kwaushimbaji wa madini aina ya Chrome. Madini hayo aina ya chrome utengenezea chassis za magari pamoja na nondo. 
Ustadhi Maftah akipata maelezo kutoka kwa mwenyeji wake huko Muscat.
Ustadhi Maftah Mwenyekiti wa CCM tawi la New York akipata ukodak na wanaanga wa machimbo hayo ya Chrome huko Muscat.
Wanyama maarufu sana kwa ukanda huo wa nchi za kiaarabu.

4 comments:

Anonymous said...

Mwenyekiti wa tawi la CCM NY. Kazi kwelikweli

Anonymous said...

mashallah sheikh maftah hivi ndo inavyotakiwa hivi ndo uislamu unavyotakiwa uwee, ujitambue uende kwa wenzako upanuwe mawazo na maarifa, mashallah Allah akujaze kila la kheir na barka tele hapa duniani na kesho akhera.
ni mfano mzuri wa kuigwa wa wana new york huna makuu wala sifa sifa za kijinga jinga kwanza uislamu hauna sifa hizi mashallah

i was so touched kuona picha hii na kuwa kweli tunaweza waislamu wa new york si kukaa katika vikundi na kusemana ovyoo mashallah sheikh maftah you made my day sir

Anonymous said...

Upuuzi na matumizi mabaya ya jina la Chama Cha Mapinduzi. This man visited Muscat in his personal capacity not as a CCM leader!

Anonymous said...

KUNA UHUSIANO GANI KATI YA "MWENYEKITI WA TAWI LA CCM" NA MACHIMBO YA CHROME HUKO OMAN ? MBONA HAJAVAA MAGAMBA YA KIJANI NA NJANO ? BLOG IMEPOTEZA MWELEKEO KWA VICHWA MBOFU MBOFU VYA HABARI.