Advertisements

Wednesday, April 16, 2014

KIBAKA ADHIBITIWA VIZURI NA RAIA WA CHINA KATIKA MTAA WA SAMORA JIJINI DAR JANA

IMG_7322Kibaka mmoja jina lake halikufahamika mara moja alijikuta mikononi mwa mchina na kuwa mpole kama mbwa na chatu baada ya kunaswa akitaka kukwapua pochi kwenye kibegi chake kidogo, Mchina huyo ambaye naye hakutaka kutaja jina lake  inasadikiwa ni mwanajeshi. alitoa  kichapo saafi  kwa kibaka huyo  huku akimdhibiti kwa asilimia mia moja, Tukio hilo lilitokea jana  maeneo ya mtaa wa Samora karibu na mnara wa askari  jijini Dar es salaam . Mara baada ya mkudhibiti kibaka huyo mchina aliomba msaada kwa wasamaria wema ili wawataarifu polisi na alijitokeza msamaria nwenye shati jeupe katika picha ambaye alionekana kupiga simu polisi ili waje kumchukua kibaka huyo mambo ya mjini hayo.

1 comment:

Anonymous said...

WaTanzanua tujifunze kuwadhibiti vibaka n sio kuwaua kwa maryngu,mawe na moto. Pia Maasari na sheria iwe inafanya azi sio akipelekwa polisi mnachukua kupitia mango wa hapo pembeni na kumrejesha siku hiyohiyo!!