Kibaka
mmoja jina lake halikufahamika mara moja alijikuta mikononi mwa mchina
na kuwa mpole kama mbwa na chatu baada ya kunaswa akitaka kukwapua
pochi kwenye kibegi chake kidogo, Mchina huyo ambaye
naye hakutaka kutaja jina lake inasadikiwa ni mwanajeshi. alitoa
kichapo saafi kwa kibaka huyo huku akimdhibiti kwa asilimia mia moja,
Tukio hilo lilitokea jana maeneo ya mtaa wa Samora karibu na mnara wa
askari jijini Dar es salaam . Mara baada ya mkudhibiti kibaka huyo
mchina aliomba msaada kwa wasamaria wema ili wawataarifu polisi na
alijitokeza msamaria nwenye shati jeupe katika picha ambaye alionekana
kupiga simu polisi ili waje kumchukua kibaka huyo mambo ya mjini hayo.
1 comment:
WaTanzanua tujifunze kuwadhibiti vibaka n sio kuwaua kwa maryngu,mawe na moto. Pia Maasari na sheria iwe inafanya azi sio akipelekwa polisi mnachukua kupitia mango wa hapo pembeni na kumrejesha siku hiyohiyo!!
Post a Comment