ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, April 8, 2014

KIJIWE CHA UGHAIBUNI

Kijiwe No. 57 from Luke Joe on Vimeo.

3 comments:

Anonymous said...

Dottoooo....mie napiga ma-fendi LOL! hujatulia ngosha!

Ila dah kuna watu wanajua ku-make grand entrance kwenye shughuli za wenzao! halafu wengine wanafanya party za wenzao uwanja wa mapambano..inaboa sana! ku-arrange party ni stress, sasa ukiwaza wale wachelewaji inaongeza stress hata utamu wa party huusikii mweh!

Anonymous said...

jabir yani uko kama mie but tofauti mie ni sichana. Yani mie nimchelewaji mpaka basi. Kazini ndo usiseme but pamoja na uchelewaji wangu mgt inanikubali kwelikweli kwasababu they see my work stds and ethics. Yani mpaka wamenifanya niwe they only one trainer for orientation of all new comers. Yani my work performance is above and beyond their expectations. Sijui nifanye nini ili niache kuchelewa....yani iwe darasani, kanisani, kusafiri, I hope sitachelewa kuingia Mbinguni nisejekuta mlango umefungwa....nitaliaje sasa hahah!

Anonymous said...

Doto umesema ukweli, na nimependa sana uliposema "shughuli ni muda, na shughuli nyingi za wabongo ni majungu"......Yani mie ndo maana sifanyi sherehe, nikitaka kufurahi whatever I achieved ninatafuta some of my friends, tunaenda hotelini tunakula mambo kishweny!! Sina muda wa kupigia watu simu na kuwabembeleza ooh siju nipikie sijui nini nope!


jabir nakuunga mkono swala la kuvaa, it's so rude utakuta mtu kakwambia shunguli nyumbani halafu mtu ndo una valia kuliko vyenye shughuli that is so wrong! Tubadilike wabongo.