ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, April 26, 2014

KUSITISHWA KWA MISA YA KISWAHILI JUMAPILI APRIL 27, 2014

 ile ibada ya misa ilipangwa kufanyika jumapili tarehe 27 Aprili 2014 haitafanyika tena kutokana na mgongano wa ratiba za harakati na sherehe za miaka 50 ya muungano. 
Badala yake tutakuwa na ibada itkayofanyika tarehe 25 Mei 2014 kwa madhumuni ya kuwasheerekea na kuwaombea wakina mama. 
Samahanini sana kwa usumbufu uliosababishwa na mabadiliko haya ya ghafla na taharifa hii ya dakika za mwisho.

No comments: