ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, April 26, 2014

MAMBO YA MORSE ROAD COLUMBUS, OHIO KWA MSOMALI

 NY Ebra (kushoto) katika picha ya pamoja na Deo Mwalujuwa (kati) na Dkt ndani ya mgahawa kwa Msomali wakisubili nyama karanga na chapati ikiwemo nyma ya mbuzi wakikumbukia enzi zile miaka ya BASH za Memorial Weekend zilizokuwa zikifanyikia Columbus, Ohio.
 Juu na chiini kwa Msomali kunavyoonekana kwa nje,
 Juu na chini ni sehemu ya maegesho ya magari enzi hizo palikuwa hapatoshi miziki minene kwa wabongo waliokuwa wakihudhuria Bash hizo.

No comments: