Advertisements

Friday, April 25, 2014

KUTOKA BUNGE MAALUM LA KATIBA MMOJA AANGUKA KWA PRESHA MJENGONI DODOMA

Wauguzi na Waganga wa Zahanati ya Bunge mjini Dodoma wakitoa msaada wa huduma ya kwanza na kufanya maandalizi ya kumpeleka Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Ziana Mohamed Haji katika Hospitali ya Mkoa wa Dodoma leo baada ya kupata matatizo ya mshutuko.Cridet:Emmanuel Shilatu.

No comments: