ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, April 19, 2014

LULU ATUPIA KAMA NICKI MINAJ PITIA HII

 Lulu atupia Kinicki Minaj habari ndiyo hii lakini unaweza kujua cha ukweli na cha kuchovya. 
Hapa Minaj ilikuwa siku ya MTV Award alitupia kitu hiki huko pande za mbele mbele.

2 comments:

Anonymous said...

Lulu ushauri wa bure jaribu kupotea mpaka matatizo yako yaishe..... huo umaarufu hauna maana sababu ukikutwa una hatia za kuua ni umekwisha. Shikilia shule jiendeleze utatanuka mawazo ila hii kila kukicha unasikika hayakufai, mwachie haya shangungu wema sepetu

Anonymous said...

badala ya kujiendeleza na elimu mnajiendeleza na mambo ya kijinga jinga ndo maana siku zote wanawake weusi mnatawaliwa na kuwa chini duni kabisa
eti nick minaj sijui nani na nani ndo itakusaidia nini wewe kuwafuata hao mamodel wala ungaaa