ANGALIA LIVE NEWS

Monday, April 28, 2014

MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA MUUNGANO USIKU WA JUMAMOSI APRIL 26, 2014 CAPITOL HEGHTS, MARYLAND


 Meza kuu ikiongozwa na mgeni rasmi Mhe. Mwigulu Nchemba akiwa na mwenyeji wake Balozi Liberata Mulamula Naibu Mwakilishi wa kudumu umoja wa mataifa Balozi Ramadhani Mwinyi na viongozi mbalimbali wa Jumuiya za Watanzania nchini Marekani
 Katibu wa Naibu Waziri wa Fedha (S) pamoaja na Mke wa Mhe. Mwigulu Nchemba.
 Mume wa Balozi wa Tanzania nchini Marekani Bwn. George Mulamula(kulia0
 Maafisa wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani  aliyesimama ni Oliva Kavishe kutoka Ohio akiwahudumia vinywaji.
Mwanamuziki kizazi kipya Erica Lulakwa kutoka California akiimba wimbo wa Taifa
Balozi Liberata Mulamula kiongea na Watanzania na marafiki zao waliohudhuria maadhimisho ya sherehe ya miaka 50 ya Muungano Capitol Heghts, Maryland.

Mhe. Mwigulu Nchemba akitoa hutuba ya maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania New York akisoma utenzi wa Muunagano

Mhe. Mwgulu Nchemba akimtambulisha mke wake kabla ya kuondoka kuelekea kupumzika baada ya shughuli ndefu ya kutwa nzima.

Erica Lulakwa akiimba wimbo wake mpywa wa Raia Pacha.
kwa mapicha kibao bofya soma zaidi

1 comment:

Anonymous said...

safi sana mna umoja sana watz wa dc,twawapa saluteeeeeeeeeeeeeeeeeeee.......