Meza kuu ikiongozwa na mgeni rasmi Mhe. Mwigulu Nchemba akiwa na mwenyeji wake Balozi Liberata Mulamula Naibu Mwakilishi wa kudumu umoja wa mataifa Balozi Ramadhani Mwinyi na viongozi mbalimbali wa Jumuiya za Watanzania nchini Marekani
Katibu wa Naibu Waziri wa Fedha (S) pamoaja na Mke wa Mhe. Mwigulu Nchemba.
Mume wa Balozi wa Tanzania nchini Marekani Bwn. George Mulamula(kulia0
Maafisa wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani aliyesimama ni Oliva Kavishe kutoka Ohio akiwahudumia vinywaji.
Mwanamuziki kizazi kipya Erica Lulakwa kutoka California akiimba wimbo wa Taifa
Balozi Liberata Mulamula kiongea na Watanzania na marafiki zao waliohudhuria maadhimisho ya sherehe ya miaka 50 ya Muungano Capitol Heghts, Maryland.
Mhe. Mwigulu Nchemba akitoa hutuba ya maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania New York akisoma utenzi wa Muunagano
Mhe. Mwgulu Nchemba akimtambulisha mke wake kabla ya kuondoka kuelekea kupumzika baada ya shughuli ndefu ya kutwa nzima.
Erica Lulakwa akiimba wimbo wake mpywa wa Raia Pacha.
kwa mapicha kibao bofya soma zaidi
1 comment:
safi sana mna umoja sana watz wa dc,twawapa saluteeeeeeeeeeeeeeeeeeee.......
Post a Comment