Wavuta kamba upende wa Ubalozi wakiongonzwa na Mhe. Libarta Mulamula , Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Naibu mwakilishi wa kudumu Umoja wa Mataifa Ubalozi wa kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa New York, Mhe. Ramadhan Mwinyi Maafisa na wafanyakazi wa Ubalozi wakivutana kamba na Watanzania wasiofanya kazi Ubalozini hapo ambao waliibuka washindi wa mashindano hayo ya kamba.
Balozi Liberata Mulamula na Balozi Ramadhan Mwinyi wakivuta kamba.
Dada Asha Nyang'anyi akiruka mpira wa sox katika mchezo wa marede uliokuwa ukiongozwa na Iska Jojo (kushoto) wakishirikiana na Dada Tuma (hayupo pichani, Dada Asha alitiafora kwa uwezo wake wa kukwepa mipira.
Dada Asha akiendele kukwepa mipira
Dada Asha akiwa chini baada ya jitihada za kukwepa mpira kushindikana.
Mwanae Dada Asha akichekelea mama yake kupigwa na mpira
No comments:
Post a Comment