Hii ni katika mji wa Elizabeth New Jersey Gari lilizidiwa na maji na kuzimikia hapo hapo kutoka na mvua zilizonyesha siku mzima jumatano.

Magari ya kichana mawimbi kama maboat baharini kumbe barabarani hiyo

Jamaa aliamua kugeuka superman na mwamvuli wake

No comments:
Post a Comment