ANGALIA LIVE NEWS

Friday, April 25, 2014

NYAMA CHOMA YA KUKATA NA SHOKA, SOCCER NA MICHEZO MBALIMBALI DMV JUMAPILI HII- NJOOOONI


WATANZANIA WOTE JUMAPILI TUTALIENDELEZA KWENYE  PARK KATIKA KUSHEREHEKEA NA SHEREHE ZA MUUNGANO. SOCCER, MICHEZO MINGINE KWA WATU WAZIMA NA WATOTO. 

 Jumapili April 27, 2014 Creencastle, Silver Spring, Maryland 
FROM 3:00 PM






2 comments:

Anonymous said...

kama manzese hapa jamani wapi hapa?

Anonymous said...

Tunaomba kusiwepo na sare ya chama, wala mambo ya vyama, hasa ccm.. Ni sherehe ya nchi ya tanzania, mambo ya uchama hayatakiwi, uzalendo wa nchi mbele