ni kweli sehemu nzuri za kutembelea ukiwa africa lakin nani anamiliki tujiulize?tumekuwa watumwa katima ardhi ya nchi yetu kwa nini? mungu amzale mahali pema peponi baba wa taifa mwalimu julius nyerere aliyasema haya sasa si tunayaona wenyewe na ndo maana tunakimbilia majuu na majuu kama hatuna makaratasi tuna kuwa pia watumwa na hata kukiyapata pia
akili kichwani tujiulize sehemu nzuri kwa ajili ya nani?
2 comments:

sehemu nzuri kwa walio na pesa za kwena hapo na kutumbua pasaka njema wote
Post a Comment