ANGALIA LIVE NEWS

Monday, May 12, 2014

ANNIVERSARY YA MEANS AND WAYS FOR WOMEN (MEWAWO) YAFANA NYUMBANI LOUNGE

Levina Mwang'ombe akiongea kwenye sherehe ya Anniversary ya MEWAWO iliyofanyika Nyumbani Lounge siku ya Jumamosi May 10, 2014 ikimshirikisha mgeni rasmi Diwani ya kata ya Ilala Mhe. Edson Fungo aliyemwakilisha Mhe. Mussa Azan Zungu.
Anniversary ya MEWAWO ikiendelea siku ya Jumamosi May 10, 2014 Nyumbani Lounge.
MEWAWO ikimkaribisha mgeni rasmi Diwani kata ya Ilala Mhe, Edson Fungo mara tu alipokua akiwasili.
Mgeni rasmi akiwa na wenyeji wake meza kuu.
Mgeni rasmi Diwani kata ya Ilala, Mhe. Edson Fungo akiongea machache.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi


No comments: