

Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula (kati gauni ya bluu) akiwa katika picha ya pamoja na Watanzania wa Minnesota alipokutana nao mjini ST Paul kwenye chakula cha mchana cha uchangishwaji fedha za asasi inayoitwa Books For Africa siku ya Jumatano May 7, 2014 na yeye kuwa mgeni rasmi mwingine kushoto aliyebeba mfuko (picha ya chini) ni Afisa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani Switebert Mkama.
No comments:
Post a Comment