Saturday, May 31, 2014

BEGINNING OF SUMMER BBQ: NEW YORK TANZANIA COMMUNITY, SUNDAY JUNE 1, 2014



Ndugu Watanzania,
Kwa furaha kubwa, Jumuiya ya Watanzania waliopo New York, New Jersey, Connecticut na Pennsylvania / New York Tanzanian Community (NYTC) inapenda kuwakaribisha kwenye BBQ ya kihistoria Jumapili, June 1, 2014 itakayofanyika Roosevelt Island. Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi atahudhuria. Mwanamuziki mashuhuri aliyeko kwenye chart Tanzania na duniani kwa mitindo ya Ngolongolo / Bongo Flava, Diamond Platinum, pia atajumuika nasi. Mwanamuziki Diamond yuko ziarani Marekani kwa maonyesho ya Muziki.


Venue: 888 Main Street (Octagon Park), Roosevelt Island, NY 10044.
When: Sunday June 1, 2014
Time: 1 pm
Nia na madhumuni ya tukio hili ni kuwajumuisha na kuwaburudisha Watanzania wa Metropolitan New York, na pia kuwapa nafasi Wanajumuiya kuongea ana kwa ana na viongozi wao wa Jumuiya.
Vyakula, nyama na vinywaji laini vitakuwepo. Mnakaribishwa kuleta cho chote cha kuongezea kama vile maji, beer, wine au hard liquor. Please wrap all alcoholic beverages appropriately as per public consumption regulations.
Jisikie huru kuja na nyongeza ya vitafununio, kachumbari na kadhalika.
BBQ will start promptly at 1 pm. Please plan to arrive accordingly.
See you all then.
Shukrani maalum kwa J&P Entertainment, DMK Global na Vijimambo Blog.
For more information: please contact:

Shabani Museba @ 347-712-8539
Miriam Abu@ 914-316-2814
Michael Chiume @ 646-662-6999
Hajji Khamis: @347-623-8965

Asanteni sana.

Miriam Abu
Deputy Secretary,
New York Tanzanian Community (NYTC)
Telephone: 914-316-2814

3 comments:

Anonymous said...

jumuiya ya wana ccm hii

Anonymous said...

Tatueni kwanza matatizo yenu kabla ya kuita BBQ.

Anonymous said...

Katiba ya Jumuiya hii haifuatwii! Kwa nini?