ANGALIA LIVE NEWS

Friday, May 23, 2014

DESIGNER LB ZIARANI ULAYA PAMOJA NA MONACO GRAND PRIX 2014

LB designer maaarufu nchini Marekani,
Alipokutana na Camera yetu katika Ukodaki moment Dulles International Airport alipotua kwa muda mfupi akiwa safarini barani Ulaya kwa Romantic Vacation yeye na mumewe.
LB ambaye ameongozana na kipenzi mume wake Mr. Mali, watahudhuria mashindano ya Monaco Grand Prix 2014. Mashindano haya ni maarufu sana duniani, ambayo uhudhuriwa na matajiri wakubwa kutoka kila kona ya dunia.



3 comments:

Anonymous said...

Designer maarufu marekeni mhh ushamba mzigo hivi kwanini wabongo mnapenda kujipa sifa msizokuwa nazo halafu jamani Monaco kwani sio ulaya. Acheni ushamba

Anonymous said...

unajua si wao wanaojisifu nadhani hawa vijimambo team kwa vile kuna wenginewe marafiki zao wadamu basi wanawandika na kuwafagilia angalia uandishi wa hawa jamma wa vijimambo utagunduwa mara nyingi ni wao ndo wanaowasifia watu na kuwapa ujiko kupitiliza so usiwatukane watu wa watu bureee wanafanya yao wanayoyaweza na si kwa sifa na wala hawana ushamba ushamba uko kwenye timu za dmv nenda leo ukaone uwanjani kwa siza na kina domo kaya chadomo ben na yassin randi

Anonymous said...

Kwani monaco sio ulaya ni wapiii?