Friday, May 30, 2014

HONGERA JOY ANDY KWA KUPATA NONDO

Joy Andy wa New York akiwa na vazi la heshima siku ya graduation yake, Joy Amegradute kwa kupata  Masters of Science in Risk Management.  Queens College, Flushing NY ndiyo chuo alichokuwa anasoma na kuzimeza nondo hizo. Vijimambo timu wanakupongeza na kukutakia mafanikio mema mbele ya safari. Mwanamke siyo kimini wala make up elimu ndiyo mwongozo wa maisha na kuheshimika.
Hapa Joy akipata ukodak na wahitimu wenzake.

2 comments:

Anonymous said...

hongera sana joy sikujui hunijui lakini nimefurahi kuona mafanikio yako watanzania ndo tunavyotakiwa tuwe hivi especially the ladies si eti leo kuvaa na kuonyesha maubile yetu na maringi ringo bila mpango na majisifu sifu na kuwasengenya wenzetu tuko majuu tufanya vitu kama watu wa majuu na kukuza utaifa wetu na kuweka heshma yetu tukipata hayo makaratasi.

Big up girl hongera sana sana kabisa na mungu akubariki daima Amen

Anonymous said...

ukombozi wa mwanamke ni elimu uje ujiajiri au uajiriwe kazi nzuri na uepuke na masimangao ya wanaume na unyanyasaji.

hongera joy hongera mwanangu hongera

hongera.