ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, May 1, 2014

KAJALA AONGELEA BIFU LAKE NA WEMA NDANI YA TAKE ONE NA ZAMARADI.


Msikilize live hapa chini:

4 comments:

Anonymous said...

poleni sana kwa machungu yote mliyoyapata, hapa duniani tunapita ni vizuri kusameheana na kusahau yote yaliyopita na muanze kuishi kama mwanzo mlipokuwa marafiki hata mimi sijapenda kugombana mkafikia hatua hiyo, katika urafiki kuna watu ambao hawafurahii marafiki mnavyopendana labda kunamaneno yaliyosemwa na watu wa pembeni ndio yaliyosababisha yote. Wema alifanya mazuri kwako Kajala na Kajala ulimpenda Wema kwa moyo wote kwa mambo aliyokufanyia. Naomba mkae chini na kumaliza tofauti zenu nami nawaombea kwa Mungu.

Anonymous said...

kwakweli mimi sijuwi ni kitu gani lakini Lakini kajali nimependa kwa kuwa unajuwa kukumbuka wema .hamna kitu kizuri kwenye hii dunia kama kukkumbuka fadhila maana kama utakumbuka fadhila sasa utamshukuruje hata mungu ambaye anakusaidia wala haumuoni??so kajali one big credit for you umekumbuka fadhila wewe ni binadamu kwa hilo

Anonymous said...

hii clip ina kwama kwama rekebisheni tafadhalini waungwana ahsante

Anonymous said...

jamani inastuc mpaka hainogi