ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, May 3, 2014

KINANA KUHUTUBIA PEMBA LEO


 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipokelewa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM (ZNZ) Vuai Ali Vuai mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege Pemba, Katibu Mkuu anatarajiwa kufanya mkutano wa hadhara Pemba
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana  akisalimiana na Viongozi wa CCM Pemba mara baada ya kuwasili Pemba leo ambapo anatarajiwa kufanya mkutano wa hadhara utakaofanyika Gombani ya Kale.
 Msafara wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ukikatiza mitaa ya Madungu Flat.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisaini vitabu vya wageni kwenye afisi kuu ya CCM Pemba Chake Chake pamoja na Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye .
 Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiangalia Buku la Wageni ( Kitabu cha Kusaini Wageni) cha Afisi Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Pemba
Buku la Wageni ( Kitabu cha Kusaini Wageni) cha Afisi Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Pemba

2 comments:

Anonymous said...

Hamna chenu Zanzibar. Lukuvi keshamaliza kazi, salamu zake za kanisani zimetufika vizuri. Mushaua wapemba, mushawafukuza kazi. Munawatukana bungeni. Leo muna lipi la kuwaambia. Kuleni posho muondoke.

Anonymous said...

Kazi kwenu CCM UKAWA wamijikusanya pamoja sasa ndio wakati wakutumia short gun.Mkiwalenga mnawapata wote kwa pamoja.