ANGALIA LIVE NEWS

Monday, May 12, 2014

LEGENDARY HIP HOP & RAP STAR SEARCH

MUHIMU: Mchakato wa Hip hop & Rap star search, unafikia tamati Ijumaa ya wiki hii, Tarehe 16.05.2014. kwa ambao tayari wametuma Clips au Track zenu mnaombwa kufika ofisi za Legendary Music - Tanzania saa 5:00 Asubuhi. (ZINGATIA MUDA)
Kwa ambao hawakutuma clip wala track zao na wana uwezo, nafasi ya upendeleo imetolewa kwa kuruhusiwa kushiriki.

Ofisi za @Legendary Music-Tanzania zinapatikana Kinondoni Msisiri Plot No. 1 Block 17, Dunga street
Kwa maelezo zaidi wasiliana na:

No comments: