ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, May 25, 2014

MAANDALIZI YA MKUTANO WA CCM SINGIDA YAPAMBA MOTO

  • Mkutano kuonyeshwa moja kwa moja na Star TV
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akikagua jukwaa la wageni waalikwa kwenye uwanja wa People's Singida.
 Katibu wa NEC itikadi na Uenezi Nape Nnauye akikagua jukwaa la kuhutubia ,wengine pichani ni Maafisa wa Chama Makao Makuu Nyakia Ally (kushoto) na Octavian Kimario(kulia)
 Magari ya kurushia matangazo yakiwa tayari kwenye eneo la mkutano.
 Mafundi mitambo wa Star TV wakiweka sawa mitambo yao, mkutano huu utaenda live mnamo muda wa saa tisa mchana.
 Star TV wakiendelea kufunga vyombo vya kurushia matangazo ya mkutano moja kwa moja kutoka viwanja maarufu vya People's Singida.
 Uwanja wa People's unavyoonekana wakati wa maandalizi.

1 comment:

Anonymous said...

wanatumia pesa ya serikali na kuwadanganya umma wa watu walala hoi kwanini wasitumiye pesa za chama chao cha ccm mnaona uharibifu wa mali ya umma wanaoufanya ccm na kuwadanganya wana vijijini kama wao ndo wanaowahurumia na kuwasidia kumbe wao ndo wanaowatia umaskini