Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara, mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa mjini Bukoba jana jioni May 1, 2014 kwa ajili ya kuwasha Mwenge wa Uhuru leo katika hafla itakayofanyika kwenye Uwanja wa Kaitaba, Mkoa wa Kagera.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akivishwa Skafu na Vijana wa 'Scout' wa mkoa wa Kagera, baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa mjini Bukoba jana jioni May 1, 2014 kwa ajili ya kuwasha Mwenge wa Uhuru leo katika hafla itakayofanyika kwenye Uwanja wa Kaitaba, Mkoa wa Kagera
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na baadhi ya viongozi, waliompokea kwenye uwanja wa Ndege wa mjini Bukoba jana jioni May 1, 2014
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Handeni Mhingo Rweyemamu, baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa mjini Bukoba jana jioni May 1, 2014 kwa ajili ya kuwasha Mwenge wa Uhuru leo katika hafla itakayofanyika kwenye Uwanja wa Kaitaba, Mkoa wa Kagera
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, mkewe Mama Zakhia Bilal, wakifurahia ngoma ya asili ya kabila ya Wahaya baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa mjini Bukoba jana jioni May 1, 2014 kwa ajili ya kuwasha Mwenge wa Uhuru leo katika hafla itakayofanyika kwenye Uwanja wa Kaitaba, Mkoa wa Kagera
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, mkewe Mama Zakhia Bilal, wakifurahia ngoma ya asili ya kabila ya Wahaya baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa mjini Bukoba jana jioni May 1, 2014 kwa ajili ya kuwasha Mwenge wa Uhuru kesho katika hafla itakayofanyika kwenye Uwanja wa Kaitaba, Mkoa wa Kagera
Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Kanali Mstaafu, Fabian Masawe, akisoma Taarifa ya Mkoa mbele ya Makamu wa Rais Dkt. Bilal. Picha na OMR
5 comments:
Mkuu wa mkoa kamboa na kumchosha sana Makamu!!!
bilal kafanana kidogo kama mwalimu julius nyerere nilipomuona mwanzo nilidhani mzee wetu bado yupo
huu mwenge tunauwasha mpaka lini?jamani tuamke na tujue historia ya mwenge
kuwasha na kuukimbiza mwengi ni ibada ya kishetani period
wala si siri mkuu wa mkoa kambowa sana makamu jamani muwe mnawafundisha kusema on public siyo kutoa hadithi za bibi na babu katika hutuba zao
Post a Comment