Tuesday, May 20, 2014

MAZOEZI KUENDELEA LEO JUMANNE KUJIANDAA NA MECHI NA NEW YORK JUMAMOSI MAY 24, 2014

Timu ya DMV
Mazoezi yanaendelea leo Jumanne May 20, 2014 kwa maandalizi ya mechi na New York itakayofanyika Jumamosi May 24, 2014 kwenye Memorial Weekend ukipata taarifa hii mtaarifu na mwenzio

3 comments:

Anonymous said...

kumbe ubaguzi upo sijajua watu wanataka kweli kujitenga.nilidhani watanzania wote tuko ndugu na si eti leo tanzania bara na wazanzibari kazi ipo

Anonymous said...

Ankali luke chei chei ,alafu nilikua na masikitiko hii shughuli ya mungano mbona wanawake tumetengwa ? na sisi pia tulihitajika tuhamasishwe tulicheze kambumbu na wanawake wenzetu wa bara ,tunaomba siku ingine mtufikirie .

Anonymous said...

Mpwa jamani kila siku anawatete na kuwaweka kuna Dada kipao mbele..Ila kwa swala la kabumbu sijui inabidi alifanyie kazi..kaka, mpwa uwape Dada roho napenda