ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, May 31, 2014

IBADA YA MSIBA DMV LEO JUMAMOSI

IMG-20140526-WA0009 
  Mama Secilia John Ngowi wakati wa uhai wake. 


Dada Belinda John Ngowi wa Takoma Park Md anapenda kuwajulisha na kuwaomba mjumuike nae katika misa ya mpendwa mama yake mzazi itakayofanyika leo Jumamosi, May 31, 2014 katika kanisa la Mt. Camillus  la Silver Spring, Maryland anuani ni 
St. Camillus Catholic Church
1600 Camillus Drive
Silver Spring, MD 20903


Ibada itaanza saa 4 sharp asubuhi (10 am)

Msiba wa Mama yake mzazi Bi.Secilia John Ngowi uilitotokea Jumatatu Mei 26, 2014 saa za mchana Tanzania. Msiba upo nyumbani kwa mfiwa 8202 Houston Ct #5 Takoma Park Md 20912. Kama desturi yetu tunaombwa tuchukue nafasi kwenda kumpa pole mfiwa na faraja katika kipindi hiki kigumu. 

Kwa taarifa zaidi unaweza kuwasiliana na : 
Belinda John (Mfiwa) 503-432-3661. 
Francis Nsolo 301-503-7387. 
Solomon Chris 301-556-8841.
Cecilia Njau 240-278-1799.

Bwana ametoa, Bwana ametwaa na jina lake lihimidiwe

No comments: