Baadhi ya ndugu na jamaa wakiutoa mwili wa marehemu George Tyson mochwari mchana wa leo katika Hospitali ya Mkoa ya Morogoro....Wakiupakia mwili wa marehemu katika gari.
Mwili wa marehemu George Tyson ukiwekwa sawa kabla ya kuanza safari ya kuja Dar es Salaam mchana wa leo.
(PICHA: Dastun Shekidele/GPL Morogoro)
No comments:
Post a Comment