ANGALIA LIVE NEWS

Monday, May 26, 2014

MWALIMU JUMA MASWANYA ASAKA VIPAJI VYA SOKA TANZANIA

Mwalimu Juma Maswanya,katika kampeni nyumbani Tanzania ya kutafuta na kuandaa vipaji vya soka kuanzia watoto wadogo.
Mwalimu Juma,mkufunzi wa soka la vijana USA{USSF License-US Youth Soccer.
Programu zinaendelea katika kiwanja cha
Boko Beach Veteran.

No comments: