ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, May 22, 2014

Picha za siku ya Muungano Washington DC


Picha za sherehe ya siku ya Muungano iliyofanyika  April 26, 2014 Washington, DC. Ukitaka picha yako, right click it halafu save kwenye kompyuta yako. Vile vile ukitaka picha yako iondolewe tuma email kwa info@iskajojostudios.com ukiitaja picha yenyewe. Ukitaka picha isiyo na logo, bofya bofya BUY option chini ya picha  halafu ununue.
Picha zenyewe zinapatikana hapa

1 comment:

Anonymous said...

bado mnasherehekea muungano wenu?

watu wanataka Tanganyika yao na zanzibar yao Yenye mamlaka kamili nyinyi bado muungano?

kazi kweli ipo au ndo mnajikoga koga kwa wakuu wakija ili wakupeni huo uraia pacha.