Picha za sherehe ya siku ya Muungano iliyofanyika April 26, 2014 Washington, DC. Ukitaka picha yako, right click it halafu save kwenye kompyuta yako. Vile vile ukitaka picha yako iondolewe tuma email kwa info@iskajojostudios.com ukiitaja picha yenyewe. Ukitaka picha isiyo na logo, bofya
bofya BUY option chini ya picha halafu ununue.
Picha zenyewe zinapatikana hapa
1 comment:
bado mnasherehekea muungano wenu?
watu wanataka Tanganyika yao na zanzibar yao Yenye mamlaka kamili nyinyi bado muungano?
kazi kweli ipo au ndo mnajikoga koga kwa wakuu wakija ili wakupeni huo uraia pacha.
Post a Comment