Kamanda
wa Polisi mkoa wa Tabora ACP Suzan Kaganda leo tarehe 19/05/2014
amekutana na waandishi wa habari na kuongelea mambo mbalimbali hasa
matukio ya kukamatwa kwa risasi 307 za SMG, tatu za shortgun na bunduki
aina hiyohiyo, tano za Rifle na bunduki yake. Pichani ni Kamanda Kaganda
akionyesha sehemu ya risasi hizo pamoja na sare za Jeshi zilizokamatwa
mkoani humo.Picha/Habari na FAKIH ABDUL - Mwandishi wa habari wa jeshi
la Polisi mkoa wa Tabora.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP Suzan Kaganda akiwaeleza waandishi wa habari kuhusiana na tukio hilo.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP Suzan Kaganda akiongea na Waandishi wa habari
No comments:
Post a Comment