ANGALIA LIVE NEWS

Friday, May 2, 2014

RAIS AZUNGUMZAA UONGOZI WA OFISI YA RAIS,KAZI NA UTUMISHI WA UMMA

IMG_9450Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa  Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Rais,Kazi na Utumishi wa Umma katika mkutano wa utekelezaji mpango kazi wa robo tatu ya mwaka  Julai-Machi 2013/2014,katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Unguja.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

IMG_9458Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa  Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Rais,Kazi na Utumishi wa Umma katika mkutano wa utekelezaji mpango kazi wa robo tatu ya mwaka  Julai-Machi 2013/2014,katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Unguja.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments: