Wednesday, May 21, 2014

SIKU FRANK KAJALE ALIPOKAMATA NONDOZ JACKSONVILLE, FLORIDA

Patrick Kajale akiwa na mdogo wake Frank Kajale siku ya May 5, 2014 Jacksonville, Florida siku Frank alipokamata Nondo yake ya Bachelor ya Internaional Business katika chuo cha Jacksonville jimbo la Florida nchini Marekani.
 Frank Kajale katika picha ya pamoja
 Frank na kaka yake Patrick
 Frank Kajale akipata ukodak moment baada ya kukamata nondo yake.

No comments: