TASWIRA MBALIMBALI MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA SHEREHE YA MUUNGANO CHINA
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
2 comments:
Anonymous
said...
Hongereni Watanzania kwa kushikamana wakati wa kumbukumbu ya miaka hamsini ya Muungano. Kwa kweli inapendeza sana kuona Watanzania duniani kote wakisheherekea siku ya Muungano kwa amani na upendo mwingi.
wadanganyika ndo muungano wao huu serebukeni tu mnahaki si mnafaidi nyinyi na tena naona tunakuleteeni comment hamuziweki kwa vile comment zetu zinawachomaaaa kwa ukweli wake

Post a Comment