Waziri
wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Sophia M. Simba (Mb.) na
Mhe. Amina Makilagi (Mb) Katibu Mkuu wa UWT, Mhe. Dk. Pindi H. Chana
(Mb) Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto na Anna T.
Maembe Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
wakipongezana baada ya kupitishwa kwa Bajeti ya Wizara hiyo jumamosi
iliyopita Bungeni Dodoma.
Waziri
wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Sophia M. Simba (Mb.),
Mhe. Dk. Pindi H. Chana (Mb) Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia
na Watoto na Anna T. Maembe Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii,
Jinsia na Watoto wakipongezana baada ya kupitishwa kwa Bajeti ya Wizara
hiyo jumamosi iliyopita Bungeni Dodoma.
No comments:
Post a Comment