ANGALIA LIVE NEWS

Monday, May 19, 2014

MPAMBANO MKALI || CR7 vs LS7


Luis Suarez kufungana magoli na Cristiano Ronaldo katika kutwaa kiatu cha dhahabu Ulaya ni mara ya 3 kutokea katika historia ya zawadi hiyo barani Ulaya.
Mara ya kwanza ilikuwa ni msimu wa
1989-1990 ambapo mchezaji mwingine wa Real Madrid Hugo Sanchez alifumania nyavu mara 38, sawa na nguli wa Bulgaria Hristo Stoichov aliyekuwa akichezea klabu ya huko nchini Bulgaria.
Mara ya pili ilikuwa ni msimu wa 2004-2005 ambapo mshambuliaji mfaransa Thierry Henry akichezea Arsenal aligawana zawadi ya kiatu cha dhahabu Ulaya na mchezaji mwingine wa Uruguay Diego Forlan aliyekuwa anakipiga Villarreal ya Hispania, kila mmoja akifumania nyavu mara 25.
Msimu huu, rekodi za CR7 vs LS7 ni kama ifuatavyo

Goals:
- Ronaldo = 31
- Suarez = 31

Assists:
- Ronaldo = 9
- Suarez = 12

Match Played:
- Ronaldo = 30
- Suarez = 33

Penalties:
- Ronaldo = 6
- Suarez = 0

No comments: