Mwanamitindo Mtanzania anayetesa kwa sasa Down South jimbo la Georgia Bi. Linda Bezuidenhout (LB) akipita mbele ya mashabiki wake kwenye tamasha la Walking on the wilside Fashion Experience lililofanyikia Atlanta, Georgia nchini Marekani wiki iliyopita.
Juu na chini ni walimbwende mbalimbali wakipita jukwaani na vivazi vya mwanamitindo Mtanzania anayekimbiza hizi sasa kwenye anga ya Mitindo Down South Bi. Linda Bezuidenhout (LB) kwenye tamasha la Walking on the wilside Fashion Experience lililofanyikia Atlanta, Georgia nchini Marekani wiki iliyopita.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi



































2 comments:
Linda my dada u go girl!!!congrats nakupendaje sasa!!!!.asante Mungu kwa mwanamitindo wa kikweli sio fakelicious wa dmv.
Kweli fakelicious , mhhh Jamani muige mitindo ya Linda, you go Mama . Proud of you , keep it up
Post a Comment